FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

Katika hili nadhani mwanafunzi kaiva kuliko mwalimu mwenyewe Carleen , sio kwa usagaji huu wa kunguni aiseeh😂.
😂😂😂😂
Mdogo wangu huku kila siku nakufundisha kufunga na kuomba, ukimuambia hivyo kaka yako unataka tubaki nyumbani usishone sare..?
Mie mwenyewe nimeshtuka,
Mdogo wangu kila siku namsisitiza asali, hayo mengine sijui kayatoa wapi maskiini mlokole wangu..!
 
😂😂😂😂
Mdogo wangu huku kila siku nakufundisha kufunga na kuomba, ukimuambia hivyo kaka yako unataka tubaki nyumbani usishone sare..?
Uwiiii nsamehe nishasahau😒😒😒
Tusishone sare kivip wakat style ya nguo nishachagua jaman
Ntamuendea kwa yule mganga wa bagamoyo😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…