Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Kwa hiyo leo mwendo wa kupeana migongo?πππUnamchekea Nani?ππππ
My dear leo umevurugwa sana na Yanga. Sali kunywa maji mengi lala.Dada kwenye mpira wetu wa Bongo usitaje jina la Mungu kabisa
Unagawa dozi hadi sio poaππMy dear leo umevurugwa sana na Yanga. Sali kunywa maji mengi lala.
Ni mara ya kwanza nakuona umevurugwa kiasi hiki...anyway..ugua poleTatizo ni pale mnapokomaa kwamba mmeweka historia labda mtuambie historia yenu peke yenu
Hahaha mimi wala sina shida na ushindi wenu ni utani tu tunafanya humu ila kuna watu wanacatch feelingsMy dear leo umevurugwa sana na Yanga. Sali kunywa maji mengi lala.
Sebuleni kabisaa π€£π€£Kwa hiyo leo mwendo wa kupeana migongo?πππ
Sitaki kelele kabisa za wananchi πNdio maana umenga hadi mifumo yote ya anga?π
Sema mashabiki wa Yanga bhana daah, nyie mkitutania mko humble ila sisi tukiwatania tumevurugwa, haya bhana watani isiwe kesi ngoja niwaache Niendelee zangu kuwatania mashabiki wa Real Madrid hukuNi mara ya kwanza nakuona umevurugwa kiasi hiki...anyway..ugua pole
Basi mkioteaga mna kelele nyinyiπ₯΄π₯΄π₯΄π₯΄π₯΄Ukahuzunike na Marumo wenu Sowetoπ
Bantu Lady
Wapelekee moto tuSema mashabiki wa Yanga bhana daah, nyie mkitutania mko humble ila sisi tukiwatania tumevurugwa, haya bhana watani isiwe kesi ngoja niwaache Niendelee zangu kuwatania mashabiki wa Real Madrid huku
Umeongea kwa huzuni hadi sio poa.Sema mashabiki wa Yanga bhana daah, nyie mkitutania mko humble ila sisi tukiwatania tumevurugwa, haya bhana watani isiwe kesi ngoja niwaache Niendelee zangu kuwatania mashabiki wa Real Madrid huku
Kuna watu wana fujo kama watoto wa mudi aka mzee wa cheki fake?πππBasi mkioteaga mna kelele nyinyiπ₯΄π₯΄π₯΄π₯΄π₯΄
Asante dada mtaniHongera Yanga.
Dahπ€£Kuna watu wana fujo kama watoto wa mudi aka mzee wa cheki fake?πππ
Unajua ninavyokuheshimu, plz naomba nisiendee kukuchoma choma moyoππHaha hamna mtani ni vile mashabiki wa yanga vitu vidogo mnapenda kujitilisha huruma na kujifanya humble, ndio maana mashabiki wa simba tunaonekana tuna midomo na kelele, kumbe na ninyi Siku mkibahatisha mnatunyanyasa kweli yani [emoji23][emoji23]
We mkuu nomaMarumo 1 - 2 Yanga
Mayele
Mudathir
Chivavero