Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,666
- 12,178
Oya we sio poa, hawa yanga wana balaa season hiiNakusalimia Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya we sio poa, hawa yanga wana balaa season hiiNakusalimia Mkuu.
Var ya msimbazi hiiMbona kama offside
Wametoneshwa kidonda[emoji16]Mikia wamenuna tena na kalala amefanya yake ni sindano kwenye donda
Waongezewe mshahara aiseeMayele na diarra ni uwekezaji bora kwa yanga
Nakazia Mkuu.Hii Yanga hata ukisema mechi ichezwe sebuleni kwenu, wanakukanda vizuri tu!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Woyooooo kama la Morrisson [emoji16]
Hivi huwa mnawalipa hawa wachambuzi kuisakama yanga? Yaani asilimia 80 ya wachambuzi huwa wapo negative na yanga,yaani hawajawahi kuwaombea mazuri hata ile ya kinafki,Geaf Leah ajiandae kupokea madongo
Sio uchawi like lilikua kombe Lao [emoji16][emoji28]Kila nikiikumbuka tarehe 16 nabakia kujisemea ama kweli uchawi upo. [emoji854]
Lione hiliMamamamamae Mayele mtu na nusu, Changanya wote Boko Firi msamba like to, Shikamooooooo Mayele
Sent using Jamii Forums mobile app