FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

Mechi inachezwa South, pamoja na mashabiki kurtakiwa kuingia bila kutoa kiingilio bado Mashabiki wa Yanga ndiyo wengi kuliko Marumo
 
Aisee asiyekubali kushindwa si mshindan nime hands up. Watani mmetisha.
Kwa Yanga hii na hakika wangeifunga Orlando ile mechi Simba tumecheza nao.
Yanga anacheza away kama yuko nyumbani. Simba tuna cha kujifunza. Away tunakua kama tuna mzigo wa nnya kwenye bukta. Rekodi zetu za away ni ushuzi mtupu.
 
Geaf Leah ajiandae kupokea madongo
Hivi huwa mnawalipa hawa wachambuzi kuisakama yanga? Yaani asilimia 80 ya wachambuzi huwa wapo negative na yanga,yaani hawajawahi kuwaombea mazuri hata ile ya kinafki,

Mimi nahis kuna mlungula huwa mnawaandalia maana haiwezekani mtu anashindwa hata kuact unafki yeye ni chuki tu ya waziwazi
 
Back
Top Bottom