zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
dk ya 50 0-1Mnaoangalia mechi muwe mnatupa update huu ndio utaratibu au mmesahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dk ya 50 0-1Mnaoangalia mechi muwe mnatupa update huu ndio utaratibu au mmesahau
Tia ndimuMechi haina ladha
Marumo washinde 4-1Kwa hyo hao Malumo wanahitaji kumfunga Yanga Goli ili apite
Jaribu kuweka mayonnaise ladha itakuja🤣🤣🤣🤣🤣..Mwaka huu lazima mmeze viwembe halafu ndio kwanza hata June badoMechi haina ladha
Kabisa kabisa, hadi Uto wenyewe wamekosa cha kushangilia, yaani ni kama mechi ya yanga na mtibwa shuga 😂😂Mechi haina ladha
Na maisha haya matamu namwachia nani??Jaribu kuweka mayonnaise ladha itakuja🤣🤣🤣🤣🤣..Mwaka huu lazima mmeze viwembe halafu ndio kwanza hata June bado
Unyama sana mwaisaKukumbushana tu tuna Milioni 10 za mama tayari kibindoni.
Yn mm ni simba damu kbs lkn ni shabiki wa mpira. Kimpira ilkw n ngumu sn marumo kumtoa yanga. Sbb kimahesabu tu goli moja la yanga lina faida na niliwaambia watu hta km yanga atafungwa lkn lzm asonge mbele kufika fainali.Naikumbuka comment yako vizuri sana,ulisema ndio yanga lazima wapate goli...
Geoff lea ni mchambuzi mzoefu kidogo lakini nimeshangaa hapa alivyojitoa akili thus why nkasema hawa si bure kuna milungura ya propaganda inatoka,maana kwa Mudy lolote linawezekana kazoea sana propaganda
Hatamsahau Kibu DenisDiara ni goalkeeper la Dunia kabisa🔥🔥🔥🔥🔥
Naharibu tuu ndimu zangu..maana haitasisimuka bado...kiukweli ni mbovuuTia ndimu
Imeisha hiyo Yng finally[emoji172][emoji169][emoji119]Marumo hawatoboi ,hawawezi kufunga 4 ili wafuzu 😀 Case Closed! Boma Ye!
Dada fainali ileeeeee.....Naharibu tuu ndimu zangu..maana haitasisimuka bado...kiukweli ni mbovuu