FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

Stephano ameenda kukaba angechoma
 
Haya kajidungeni sasa mpate sare yenu
 
Muhindi leo anavuna faida mara dufu....ahahahaa
 
Tatizo ni namna ya kufanya sub, hapa ndiyo kocha anachemsha
 
Hivi game wachezi 24 wote ni wazee wa team zote najilaum kuuacha usinginzi wangu
 
Mimi ni Yanga damu, hii game tunafungwa Wachezaji wetu hawana morale kabisa, wamekata moto mapema. Kwa kifupi tunapoteza na hii.

Turudi na sababu kibao, ooh hali ya hewa oh mashabiki walitoa moshi n.k n.k
Tangu lini ukawa shabiki wa Yanga?/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…