FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

Mbona alifungwa na Azam na Tabora.

Acheni kusingizia Makocha. Ukweli ni kwamba hamna wachezaji na waliopo ni Wazee sana.
Gamondi hatuangalii alifungwa na nani na nani?

Bali alifungwa mechi ngapi?
Muda wote aliokaa yanga alifungwa match 6 tu!

Kwahiyo sisi hatuangalii mechi hizo mbili pekee bali takwimu zake kiujumla zilikuwa nzuri sana.
 
Shekh mbona mapema sana? Tulia sindano iingie vizuri.
 
Yanga tuko nanyie mpaka wawauee, 🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€“πŸ€“ Nimeishia Kwa MwamposaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…