Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka huu tutasema mengi... ishu ya kumfukuza gamondi ilikua risk sana isiyo na tijaMimi mchezaji anakimbia kama mbuzi anayekojoa, nimecheka mpaka machozi!
Yanga nyie ni ndumila kuwili sana . Mbona nyie ndio mlikuwa mnapika majungu kuwa Gamondi hafai aondolewe, na alipoondolewa mkashangilia.Gamondi hatuangalii alifungwa na nani na nani?
Bali alifungwa mechi ngapi?
Muda wote aliokaa yanga alifungwa match 6 tu!
Kwahiyo sisi hatuangalii mechi hizo mbili pekee bali takwimu zake kiujumla zilikuwa nzuri sana.
Tumecheka wote Nifah wangu 😀😀Japo nina machungu ila nimecheka mno!
Nyie na nani? Uliniona wapi nasema afukuzwe?Yanga nyie ni ndumila kuwili sana . Mbona nyie ndio mlikuwa mnapika majungu kuwa Gamondi hafai aondolewe, na alipoondolewa mkashangilia.
Kwanini wasahaulifu hivyo kama kunguru wa znz
Hersi kaharibu legacy yake mwenyewe, hapa ndio tumeshapoteana tayari.Mwaka huu tutasema mengi... ishu ya kumfukuza gamondi ilikua risk sana isiyo na tija
Wamepigwa tulichoka na mbwembwe zao..hahahaYanga nyie ni ndumila kuwili sana . Mbona nyie ndio mlikuwa mnapika majungu kuwa Gamondi hafai aondolewe, na alipoondolewa mkashangilia.
Kwanini wasahaulifu hivyo kama kunguru wa znz
😂😂😂punguza hasira mpira ni unamatokeo matatu