FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

Nafasi bado ipo.

Simba aliwahi kufungwa mechi mbili mfululizo kwenye hatua ya makundi Cacl (Alifungwa na Horoya ugenini 1-0 Kisha akapigwa 3-0 na Raja Casablanca hapa Dar) ila mwishowe akatinga Roho fainali.
Tusikalili kilichotolea kwao basi kitatokea kwa Yanga kwa kifupi Yanga anamlima mrefu wa kuupanda. Ukizingatia kocha ni mpya,nae anaintroduce mifumo yake naiona nafasi finyu sana kwa Yanga.

Ngojea tuone lkn sizani kama itakuwa kazi rahisi.
 
IMG-20241103-WA0064.jpg
 
Huyu kocha ataendelea kuumiza mioyo y wanayanga, viongozi walifanya maamuzi ya hovyo sana
 
Nafasi bado ipo.

Simba aliwahi kufungwa mechi mbili mfululizo kwenye hatua ya makundi Cacl (Alifungwa na Horoya ugenini 1-0 Kisha akapigwa 3-0 na Raja Casablanca hapa Dar) ila mwishowe akatinga Roho fainali.
Fallacy
 
Muda sahihi wa Eng Hersi kutupisha maana kibuli kimeanza kumjaaa atuachie timu yet
 
unahitajika mbadala wa Aucho pale anatucost fainali zile za kombe la shirikisho mechi zote mbili hakuwepo,mwaka jana tulivyocheza na Mamelod hakuwepo mechi zote mbili akacheza nungunungu jonas mkude mwaka huu ndyo kama hvyo mechi hizi zote mbili hayupo.Asipokuwepo Aucho timu inakosa utulivu inatakiwa atafutiwe mbadala
 
Back
Top Bottom