FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

Madhara ya kucheza game nje ya uwanja haya plus sindano sema umeongea kwa uchungu ila week mbili mbele mtarudi kwenye lingi makosa ya kibinadamu yatatokea mtashinda tano then raisi wenu mtaanza kumpa sifa kede kede
Watu ni muda wao huu kupiga PESA walishawapumbaza sana kipindi kilichopita sasa muda huu wataona kila rangi.
 
Timu yetu ya Yanga sc ni moja ya timu za hovyo katika haya mambo ya mipira humu nchini
Kuanzia sisi mashabiki wa Yanga sc,wachezaji pamoja na viongozi wetu bogus tulilewa sifa za kijinga

*Eng:hersi saidi ,ni kiongozi kajanja , kichwa Maji na mwenye mihemko ya kisomali kama wanamgambo wa al-shabab.
Unamfukuza Gamond af unamuacha mchezaji mpiga nyeto kama Aziz ki?timu unataka ichukue ubingwa kiungo wa kati Duke Abuya mtu Kila pasi anatoa nje au kurudisha mpira nyuma, mchezaji anakimbia utafikiri mbuzi anaekojoa.

Nakuuliza wew injinia wa magodoro,mjaluo tangu lini akacheza mpira?

Mchezaji kama Kibabage ataipeleka timu wapi?, mchezaji mbilikimo kama ndama ,anakimbia hovyo hovyo kama muumuni wa Mwamposa mwenye pepo afu unataka uchukue ubingwa wa Afrika .?hii ni maajabu!

Aziz ki ni takataka kabisa, Duke Abuya ni utumbo kabisa , Mudathir Yahya , Musonda ,Mwamnyeto ,Kibabage na kile kichungaji feki kipiga nyeto Maxi Nzengeli wote ni takatakaa

Eng:Hersi wewe ni kiongozi
,usie na maono na mwizi .Siku zako ndani ya Yanga sc zinahesabika
Duh!
 
Tuna asilimia chini ya hamsini kufuzu robo, haya yote tumejitakia wenyewe. Usiku mwengine mrefu.......
Nafasi bado ipo.

Simba aliwahi kufungwa mechi mbili mfululizo kwenye hatua ya makundi Cacl (Alifungwa na Horoya ugenini 1-0 Kisha akapigwa 3-0 na Raja Casablanca hapa Dar) ila mwishowe akatinga Robo fainali.
 
Back
Top Bottom