Hongera sana mhenga naamini Young Africans itampiga mwarabu kwao kama ilivowafanya ndugu zake...Tyee!!! Leo nimewahi kuanzisha thread. Watakaonuna na wanune.
View attachment 3170959
View attachment 3170960
Nastahili kupongezwa kwa mafanikio haya
HongeraTyee!!! Leo nimewahi kuanzisha thread. Watakaonuna na wanune.
View attachment 3170959
View attachment 3170960
Nastahili kupongezwa kwa mafanikio haya
Wala hakutakiwa na mashabiki..kimya kimyaMimi ni Yanga damu, hii game tunafungwa Wachezaji wetu hawana morale kabisa, wamekata moto mapema. Kwa kifupi tunapoteza na hii.
Turudi na sababu kibao, ooh hali ya hewa oh mashabiki walitoa moshi n.k n.k
Haiwezi jirudia, club ya TAIFA inapofungwa wananchi wote wa tanzania wakiwemo makolo huumia sana japo huku mitandaoni wanaigiza kufurahia.Juzi tu imetufedhehesha sebuleni kwetu dhidi ya waarabu koko.
Tatizo wakifunga wataanza kumshukuru "Mom" badala ya Kocha, ndio laana inavyowapata
naunga mkonoYanga 3 - Mc alger 0
Kila la kheri Yanga SC 💚 💛 💛 ushindi Leo lazima naziona chuma tatu
Musonda
Pacome
Chama
Timu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara
silenzio!Dah, Utopolo huko nyuma mlikuwa na Kauli zenu Wenyewe ' Hakuna mchezaji Wa Simba anayeweza kuingia kwenye kikosi na kuwa tegemeo' Sasa Chama amekuwa tegemeo Lenu...!
Ukiona mtu anaanza na utambulisho ujue kichwani kuna matopeMimi ni Yanga damu, hii game tunafungwa Wachezaji wetu hawana morale kabisa, wamekata moto mapema. Kwa kifupi tunapoteza na hii.
Turudi na sababu kibao, ooh hali ya hewa oh mashabiki walitoa moshi n.k n.k
Sawa ndugu Kichuguu hongera,ila usituoteshee vichuguu tu uwanjani leo,tunatarajia kuona tambarare halisi ya uwanja.Tyee!!! Leo nimewahi kuanzisha thread. Watakaonuna na wanune.
View attachment 3170959
View attachment 3170960
Nastahili kupongezwa kwa mafanikio haya
Wewe tabora wewe jaribu mara ingine uone kilichomnyoa kanga manyoya.
Adake Diara apigwe tobo tenaSina imani, sina matumaini. Lakini ndio timu yangu, sina budi kuitakia ushindi nisiojua tutaupata vipi!
Mungu atusaidie.