FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

Mimi ni Yanga damu, hii game tunafungwa Wachezaji wetu hawana morale kabisa, wamekata moto mapema. Kwa kifupi tunapoteza na hii.

Turudi na sababu kibao, ooh hali ya hewa oh mashabiki walitoa moshi n.k n.k
Wala hakutakiwa na mashabiki..kimya kimya
 
Kila la kheri Yanga SC 💚 💛 💛 ushindi Leo lazima naziona chuma tatu
Musonda
Pacome
Chama

Timu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara
 
Juzi tu imetufedhehesha sebuleni kwetu dhidi ya waarabu koko.
Haiwezi jirudia, club ya TAIFA inapofungwa wananchi wote wa tanzania wakiwemo makolo huumia sana japo huku mitandaoni wanaigiza kufurahia.
 
Tatizo wakifunga wataanza kumshukuru "Mom" badala ya Kocha, ndio laana inavyowapata
IMG-20241007-WA0000.jpg
 
Hii mechi ili yanga ashinde wnatakiwa walipe deni la ali kamwe kabla ya saa 12 jioni
 
Kila la kheri Yanga SC 💚 💛 💛 ushindi Leo lazima naziona chuma tatu
Musonda
Pacome
Chama

Timu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara

Dah, Utopolo huko nyuma mlikuwa na Kauli zenu Wenyewe ' Hakuna mchezaji Wa Simba anayeweza kuingia kwenye kikosi na kuwa tegemeo' Sasa Chama amekuwa tegemeo Lenu...!
 
Hii mechi Yanga anashinda, subirini muone boli litakavopigwa
 
Mimi ni Yanga damu, hii game tunafungwa Wachezaji wetu hawana morale kabisa, wamekata moto mapema. Kwa kifupi tunapoteza na hii.

Turudi na sababu kibao, ooh hali ya hewa oh mashabiki walitoa moshi n.k n.k
Ukiona mtu anaanza na utambulisho ujue kichwani kuna matope
 
Back
Top Bottom