FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024


Aucho, Chama na Dube ni sehemu ya subs. Inabidi mwalimu awe sharp na makini sana katoika kufanya subs zake.
 
Kocha wa yanga bishoo sana kwa nilivomuona yanga wasahau kufika mbali kwenye hili kombe hata ligi kuu tu wajitathmini .sijui nani aliwashauri kuleta huyo kucha jangwani.
 
Angeanza chama angalau kungekua na matumaini ila haya ngoja tuwaombee Mungu
 
Ngoja nipumzishe fuvu mapema kabla yanga hawajanitibua usingizi ukapaa.All the best Young African lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…