87' Kuelekea kumalizika kwa mchezo huu wa Kirafiki, msako wa bao la pili unaendelea.Dakika ya ngapi huko?
Sawadogo ni player wa maana pale kati, kwanza anajua kukaba halafu hapotezi mipira hovyohovyo (pasi zinafika hata zile ambazo yupo kwenye mazingira ya kubanwa).Sawadogo ni Mtu wewe angalia mikimbio na Pass zake Ni Pande la Mtu tunalo lihitaji Pale Kati.
Mbona anaomba omba kutoka?.hata mechi fulani aliomba...what wrong?Ye ndiye aliyeomba kutoka kwasababu alijiona amepwaya
YaaniNani kakosa bao la wazi hilo?
Sio Kyombo huyo?