ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Sio kwamba wanaumia bali wanajifanya wanaumia ili waikimbie hii mechi ya mchongoSimba wachezaji wanaumia hovyo majeraha mara kwa mara inakua shida uko mbeleni.kuna wababe huko cafcl wanamiguu ya chuma.
Ushaanza kutafuta chaka la 'excuses'.Ibenge ameibadilisha sana hii timu. Siyo Ile iliyocheza na utopolo alipokuwa anaanza/mgeni
86Dakika ya ngapi huko?