Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Haswaaaaa mwelekezeUtaacha lini upimbi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaaaaa mwelekezeUtaacha lini upimbi
Kwa akili yako hicho ndicho kikosi tegemeo cha simba?Kumbuka Hiki ndio kikosi chetu tulichokuwa nacho hamna kipya
Kibuuuuu
Daaaah ila kachezewa na faulo pale
Unagongwa na inziUongozi uangalie uwezekano wa kumwondoa huyu Okrah ikibidi waongee aletwe Farid kucover maana hamna anachokifanya
Kwa hiyo unataka kusema nini? Tumfukuze , na kumrejesha Mgunda kuwa kocha mkuu?Kama timu tuna dosari ndogo ndogo nyingi za kimbinu na kiufundi.
Tumekosea kuleta kocha mpya mwenye falsafa tofauti kabisa na aliyoikuta mwezi mmoja kabla ya mashindano ya kimataifa
Hatuko tayari kucheza kimataifa mwaka huu
Ndivyo walivyo utoporoKuna watu wanaviherehere humu game hata haiwahusu.
Sasa chukuiia hata akipigwa 10, hii mechi kwako ina hasara gani?Hii timu kapamba matola? Simba anapigwa 3-0. Na ndiyo mwisho wa kushangilia kizuzu kwa huyo kocha wenu Brysoni
Some mistakes are irreversibleKwa hiyo unataka kusema nini? Tumfukuze , na kumrejesha Mgunda kuwa kocha mkuu?
Kwa akili yako hicho ndicho kikosi tegemeo cha simba?
Una uhakika kwamba simba ingekuwa mechi ya ushindani wangecheza na hicho kikosi?
Huyu ndio katusababishia tuwe nyuma ya Uto kwa utoafuti wa point 6