FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

MBWAA A
HAWAAAWACHEZEE HIVI DERBT MAVIYAAYAOOWATAXOA
 
Kama timu tuna dosari ndogo ndogo nyingi za kimbinu na kiufundi.

Tumekosea kuleta kocha mpya mwenye falsafa tofauti kabisa na aliyoikuta mwezi mmoja kabla ya mashindano ya kimataifa

Hatuko tayari kucheza kimataifa mwaka huu
Kwa hiyo unataka kusema nini? Tumfukuze , na kumrejesha Mgunda kuwa kocha mkuu?
 
Kibu Kabla ya Baleke ndio Tulikuwa Tunamtegemea Kwenda Kumfunga Yule Kipa wa Casablanca [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu ndio katusababishia tuwe nyuma ya Uto kwa utoafuti wa point 6
 
Hii timu kapamba matola? Simba anapigwa 3-0. Na ndiyo mwisho wa kushangilia kizuzu kwa huyo kocha wenu Brysoni
Sasa chukuiia hata akipigwa 10, hii mechi kwako ina hasara gani?

Hii ni mechi ya kupima, kupima ndio sehemu unayopata fursa ya kujaribisha vitu ambavyo huwezi ukathubutu kuvifanya kwenye mechi muhimu
 
Kwa akili yako hicho ndicho kikosi tegemeo cha simba?

Una uhakika kwamba simba ingekuwa mechi ya ushindani wangecheza na hicho kikosi?

Panga sasa Kikosi Kwa Hali Ya Sasa Nani Angecheza Mechi ya Ushindani usiwe unaongea tuuuu.

Mimi ni Mwana Simba Kijana nilie na Card Ya Uanachama Nakwambia kitu nacho Kifahamu. Hao ndio wachezaji tulio kuwa tunaelekea nao na Tunaenda Nao Kimataifa. Watafanyiwa Sub either kuanza au kuingia Baadae. Kikosi Kipana kiko wapi.

Usiwe Shabiki wa Simba Kuwa Mpenzi wa Simba Ili unielewe ninacho kwambia kuwa Simba Hatupo Tayari Kimataifa Kama Hatutafanya Vitu vya haraka na msingi katika Benchi.

Manula ndio yule ambaye anafungwa magoli yale Yale, Kanoute Mechi Ngumu huwa Anakuwa Mzigo tunabaki kumtegemea Mkude ambaye Leo ndio Hovyo. Okrah wa Mikimbia Majeruhi yamemuandama kwa sababu hatuna Fitness kama Ya Yule Kocha wa Viungo Tulie Muacha Na Da Rossa, Una Phiri Majeruhi, Una Bocco, Una Baleke hana fitness una mtegemea nani Ku score? Una Saido Ambaye Mechi Kadhaa Zimeonesha Akiwa na Mechi ngumu Anakuwaje? Usiseme kama Shabiki wa Mpira sema Kama Mpenzi wa Mpira

Simba Tunahitaji Reformation Kubwa ya Kikosi na Benchi la Ufundi hata tuwe na Makocha 100 hiki sio Kikosi cha Kupambana na Lile Kundi Letu na Kusema Kwa Mkapa hatoki Mtu.

Unahisi Wachezaji ni Hussein, Kapombe na Chama? Umeangalia Ratiba Yetu ilivyo Ngumu? Chama Akikutana na Kiungo wa Shoka Anampoteza pale Kati na Hatuna Mwingine wa Kubadirisha Mpira. Hii mechi inatuonesha Ni kiasi gani hatuko tayari na CAFCL
 
Kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Mkapa|| Simba SC 0-1 Al Hilal
 
Vikosi vimerejea uwanjani na sasa mpira umeanza kukamilisha dakika 45 za kipindi cha pili
PXL_20230205_140831977.PORTRAIT.jpg
PXL_20230205_140826047.PORTRAIT.jpg
PXL_20230205_140821392.PORTRAIT.jpg
 
Huyu ndio katusababishia tuwe nyuma ya Uto kwa utoafuti wa point 6

Kibu Mwezi wa Sita Atolewe kwa Mkopo.

Al Hilal Wapo serious wameweka Kikosi Full wewe kwanini usiweke uone udhaifu uko wapi na Wote mpo Mashindano Ya Aina Moja?
 
Simba SC wanapata Kona ambayo haikuzaa bao, Hilal wanaokoa
 
Back
Top Bottom