FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]mkubwa ana chekesha sanaaa..ange achia watoto tu
 
Mnaona lakini hawa watoto wanavyojiangusha??

Tusilaumiane huko mbeleni
 
Imagine hii Simba ndo inakutana na medeana....wazee wa pira speed [emoji23][emoji23]

Makolo wanaweza kimbia mechi
Au na Wydad Casablanca au Al Ahly, timu bora kabisa barani Afrika
 
Dakika zilizoongezwa zilikuwa 4 nashangaa saizi wamebadilisha zimekuwa 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…