OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Uto andikeni huyu Mlandege amelala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba tunashida sana huyu Onana hata timu ya mtaani kwetu hapati namba ni mchezaji mzembe mno, atakua ana miwiliOnana mkataba wake ni miaka mingapi
Mwasibu tuliza wenge. TunashindaSaidooooo buuuuuuuh
Au na Wydad Casablanca au Al Ahly, timu bora kabisa barani AfrikaImagine hii Simba ndo inakutana na medeana....wazee wa pira speed [emoji23][emoji23]
Makolo wanaweza kimbia mechi
Na wee upo hapa kufuatilia Futuhi?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kuna mtu anaacha kufuatilia afcon anafuatilia hii futuhi cup?
Usijal mkuu.. Tutafunga dakik zile zile. Mganga wet hajawah kuchemka41' MFC 0-0 Simba
Sawa mlatanoUto andikeni huyu Mlandege amelala
Ppole mkuu.. Hiv wachezaJi wenu walirudi kwa boat zile za Kilimanjaro?Makolo msikubali hela mmetoa kwa refa mbona hawapi goli? mwambieni refa arudishe hela au awape penati
Hata Simba hapo Aman Haina akina Kibu, Inonga, Chama, Muzamiru na Tshabalala, lakini imefika hapoKikosi mkuu....ndo kilitolewa[emoji23]
Ppole sana mkuu kwa maumivu uliyopata kwa kubanduliwa vitatu.MAKOLO wasipobebwa kama juzi lazima walie leo
Ppole sana mkuu kwa maumivu uliyopata kwa kubanduliwa vitatu.MAKOLO wasipobebwa kama juzi lazima walie leo