FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaa had baas. Hili kombe kuanzia mwaka jana ni limepangwa kubaki hapo.

Hata singida walitolewa makusudi ili aingie mwingne aporwe, na mwakani itakua hvyo.
Refaa kawasaidia sana mlandege,
Kama Simba ilivosaidiwa dhidi ya singida
 
🤸🏿🤸🏿🤸🏿🤸🏿🤸🏿🤸🏿
.
Screenshot_20240113_222132_Gallery.jpg
 
Duuh huu uchawi wa Mlandege utakuwa wa Chumbe, hivi timu za Zanzibar hazichezi kimataifa, ili tujue hawa Mlandege huwa wanakuwa hivi hivi na kimataifa au ndio uchawi hauvuki bahari
🤣😂😂😁😁
 
Yeah! zilibaki sekunde chache sana.
Ila timu yetu bado kidogo aisee
Hata kwenye hizo 4 bado mpira ulichezwa chini ya dakika hizo

Muda mwingi ulitumika kwenye kujiangusha na refa hakuwa na guts za kufidia hizo dakika kutokana na hofu ya kuhofia asije kujadiliwa kama alivyofanya mechi iliyopita
 
Pressure imekuwa kubwa sana hapo mwishoni.
 
Hujasoma nilicho andika? Singida alitolewa hapo makusudi isingewezekana mara ya pili aporwe, watu wangestukaa.

Wakaona wawamalize kwa simba afu simba aporwe.
Na mwakani itakua hivyoo.
Unataka kusema Simba ilionekana haiwezi kupenya kwa Mlandege? Ni lazima ilizwe tu?
 
Back
Top Bottom