Kama Simba ilivosaidiwa dhidi ya singida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaa had baas. Hili kombe kuanzia mwaka jana ni limepangwa kubaki hapo.
Hata singida walitolewa makusudi ili aingie mwingne aporwe, na mwakani itakua hvyo.
Refaa kawasaidia sana mlandege,
Wenye kujua wachache kama wewe wamejua. Hii Mlandege kombe ni lake .Wanachofanya ni kama kujitekenya na kucheka.Hujuma hii
Ulikuwa unasema? 😄Wabongo wajinga kweli, wew unafanya nn kwenye huu uzi wa futuhi cup sasa?
Unaumia ukiwa wap mkuu?
Beki mbovu sanaHatuna timu kama dak 90 tunashindw kufunga goli ivo visekunde vingetupa timu bora
Tuna timu yakijinga
🤣😂😂😁😁Duuh huu uchawi wa Mlandege utakuwa wa Chumbe, hivi timu za Zanzibar hazichezi kimataifa, ili tujue hawa Mlandege huwa wanakuwa hivi hivi na kimataifa au ndio uchawi hauvuki bahari
Hujasoma nilicho andika? Singida alitolewa hapo makusudi isingewezekana mara ya pili aporwe, watu wangestukaa.Kama Simba ilivosaidiwa dhidi ya singida
100m + timu kuhudumiwa kila kitu wanapokuwa kwenye hayo mashindanoIvi kombe hili linadhamani kiasi gani?
Hata kwenye hizo 4 bado mpira ulichezwa chini ya dakika hizoYeah! zilibaki sekunde chache sana.
Ila timu yetu bado kidogo aisee
Mlatano kaliwa na mlandege 🤣🤣🤣🤣🤣
Pressure imekuwa kubwa sana hapo mwishoni.Hata kwenye hizo 4 bado mpira ulichezwa chini ya dakika hizo
Muda mwingi ulitumika kwenye kujiangusha na refa hakuwa na guts za kufidia hizo dakika kutokana na hofu ya kuhofia asije kujadiliwa kama alivyofanya mechi iliyopita
Unataka kusema Simba ilionekana haiwezi kupenya kwa Mlandege? Ni lazima ilizwe tu?Hujasoma nilicho andika? Singida alitolewa hapo makusudi isingewezekana mara ya pili aporwe, watu wangestukaa.
Wakaona wawamalize kwa simba afu simba aporwe.
Na mwakani itakua hivyoo.