FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Okay nmekupata mkuu[emoji2772]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeshavuka huko kitamboooo.
Hadi Picha za Joho zishatanda ukungu.

Wee hangaika na quiz, test, na ujipange UE very soon.
Poleee wee.
Aaah dg kua na heshima...na age hii niwe student
By the way
Sasa mbna unazunguka viunga vya udsm..Kila siku....au ndo kutumia wifi
 
Sisi Wana yanga tuna wivu sana Kwa Simba sukari
 
Kiukweli ningetamani kuwa die hard fun wa mlandege fc ila kwa heshima ya kocha wa APR leo nalala mapema saa 1 kamili jioni
 
Wakati macho na masikio yote Afrika leo yakielekezwa Afcon, kuna makubwa jinga yanawaza kombe mbuzi la Mapinduzi!

Tukiwaita mbumbumbu wanakasirika…
Utakufa kwa chuki zisizo na msingi kubali kushindwa kama Mwenzako Shadeeya
 
Kila la kheri Mnyama Tunawakaribisha VAR ya utopolo kufuatilia makosa ya Refa kama ilivyo kawaida yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…