FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Phiri hatakiwi kubaki Simba msimu ukiisha aende tu kaisha, huyu babacar sarr nae mweupe sana bora aingie Abadala hamis
Huyo Sarr bora hata mimi. Ifikie hatua tuamini na kuthamini vya kwetu. Ningepewa kati ya Sarr au Kagoma au Kelvin Nashon. Ningechagua Nashon au Kagoma. Professional lazima awe tofauti na aingeze kitu kwa wazawa ila unasajili Mgeni ambaye ni Low Quality.

Kuliko kumrudisha Nickson, ni bora ningemrudisha Kichuya tu.
 
Baadaye zikiongezwa dakika 10 tusisikie kelele za refa anawabeba
 
Huyu Ssar jaman, tuseme ugeni au?
Mbna anakatisha tamaa. Lol
 
Back
Top Bottom