Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Mungu kawapa laana dhuruma ni mbaya sanaNimeshangaa hilo leo muosha kaoshwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu kawapa laana dhuruma ni mbaya sanaNimeshangaa hilo leo muosha kaoshwa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3] Mama mchungaji umetumia kinywaji gani leo?Shenzeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku umeisha dakika ya 94
Dakika za nyongeza hazijaisha zote na bado kulikuwa na upotevu mkubwa wa muda
Uswahili umezidi...Simba timu ya kijinga kweli. Benchika angeachana nayo.
Afadhari maana hii siku ishakua ngumu sasa.Man City tumesawazisha.
Naunga mkono hojaKesho tukale pilau mitaa ya mlandege
Naunga mkono hojaView attachment 2870917
Sisi kama Simba kombe letu ndio hili msimu huu.
Maana halisi ya mbumbumbuSi na jezi wakaprint bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2870913