BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Umeme una shida kwenye control boxAyoub apimwe wakuu.
Nahizi kuna namna ile kichwa haiko sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeme una shida kwenye control boxAyoub apimwe wakuu.
Nahizi kuna namna ile kichwa haiko sawa
Wee uliliwa na APR tyatyuuuuuu!!! Usijisahaulishe.Mliwa 5 Leo tena kaliwa na mla ndege.... Simba ameliwa unyounyoooo yaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni utani tu nadhani. Kwenye fainali kila timu huandaa jezi maana ye yote anaweza kushinda.Sema watu wasahaulifu sana, mmesahau ninyi mlivyoandaaga jezi za 50 Matches Unbeaten ila Ihefu wakavuruga kila kitu, leo hii mnacheka hilo
Simba haina utamaduni WA kulalamika. Yanga mara ya kwanza kushiriki mashindano makubwa baada ya miaka 28 tayari imeshaandika barua kulalamika. Mara CAS mara CAF umeshawahi kuona Simba Wana ujinga huo?Ulalamike na wakati ni mnufaika wa hayo mambo? [emoji1][emoji1] hiyo fainali yenyewe kafosiwa tu kuwemo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mbna hutemii chechee, ni kwamba unaogopaa au unajistukiaaaa??[emoji1787][emoji23][emoji16][emoji16]hii imeenda
Afu wanasajiri ssar, jamaa mwenyewe anatia wasi wasi uwanjani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simba ni mbovu pote, viungo, forward na mabeki.Nimefurahi Simba kufungiwa, timu mbovu Ila viongozi wakitaka kujificha kwa mgongo wa mapinduzi cup.
Viongozi badala ya kushugulikia timu wanafanya siasa sijui visit Zanzibar upumbavu mtupu
Sijui wanawaokota wapi,mchezaji mzuri kwenye hii mechi zote ni Ngoma tuAfu wanasajiri ssar, jamaa mwenyewe anatia wasi wasi uwanjani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwana Yanga anapoongelea Kocha WA Simba😄😁Benchika out!
Afadhali hata pira papatu papatu kama Rugby la mzee Robertino wallahi! 😁😁😁
Upo...Tujikumbushe..
FT
Kinyesi FC 1 - APR 3