FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Mliwa 5 Leo tena kaliwa na mla ndege.... Simba ameliwa unyounyoooo yaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wee uliliwa na APR tyatyuuuuuu!!! Usijisahaulishe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema watu wasahaulifu sana, mmesahau ninyi mlivyoandaaga jezi za 50 Matches Unbeaten ila Ihefu wakavuruga kila kitu, leo hii mnacheka hilo
Ni utani tu nadhani. Kwenye fainali kila timu huandaa jezi maana ye yote anaweza kushinda.

Ila poleni 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️
 
Ulalamike na wakati ni mnufaika wa hayo mambo? [emoji1][emoji1] hiyo fainali yenyewe kafosiwa tu kuwemo
Simba haina utamaduni WA kulalamika. Yanga mara ya kwanza kushiriki mashindano makubwa baada ya miaka 28 tayari imeshaandika barua kulalamika. Mara CAS mara CAF umeshawahi kuona Simba Wana ujinga huo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mmeanza matusi humu ndaniii, woiiiih
 
Nimefurahi Simba kufungiwa, timu mbovu Ila viongozi wakitaka kujificha kwa mgongo wa mapinduzi cup.
Viongozi badala ya kushugulikia timu wanafanya siasa sijui visit Zanzibar upumbavu mtupu
 
Stock ipo ya kutosha
IMG-20240113-WA0000.jpg
 
Nimefurahi Simba kufungiwa, timu mbovu Ila viongozi wakitaka kujificha kwa mgongo wa mapinduzi cup.
Viongozi badala ya kushugulikia timu wanafanya siasa sijui visit Zanzibar upumbavu mtupu
Simba ni mbovu pote, viungo, forward na mabeki.

Mchezaji ambaye unaweza kusema ni mzuri kwenye hii timu iliyoenda Zenji ni Ngoma tu, wengine kwa mbali ni makipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom