FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Dak 99.Goooooaaal John Boko Adebayo Mlandege 1 Simba 1 tunaweza elekea penati, mikia msikate tamaa za nyongeza bado hazijaisha
 
Dah! Ahueni umezinduka mtani. Maana mwenzako cocastic mpaka muda huu naandika hapa, hata hajulikani alipo! Aisee kichapo kinauma sana.
kichapo gani??yani goli moja ni kichapo? Mm sikua hewani toka juzi mtani...kwa sbb maalumu..ndo nimerejea leo..
Hata sijaumia kwakweli...
 
Back
Top Bottom