FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

Mungu nakuomba ibariki Tanzania tuondolewe kwenye haya mashindano kutokana na mauaji ya Watanzania yanayofanywa na Serikali ya CCM ikiongozwa na Samia na viongozi wengine wa CCM hakiwemo Makonda ambaye ni miongoni mwa watuhumiwa wa kukatisha maisha ya watanzania!
 
Watu washakula pesa ya mwarabu...Sema marefa wetu wa kiafrika uwezo wao ni mdogo pia.
 
Appreciation post inaenda kwa Bakari Nondo Mwamnyeto

Licha ya kukaa benchi klabuni kwake ila bado ameendelea kuwa na nidhamu na kuubonda vizuri pale anapohitajika.

Huwezi msikia akilalamika…class👏🏽👏🏽
 
Mmh tumeshasahau kabisa kuipigania haki kwenye nchi yetu, na sasa tunashabikia mipira. Si mridhiane tu
 
Hii mechi ingekuwa mbili moja, Chance ya Feisal na Msuva ,zile zote kamba.Yaani leo Morroco wamecheza hovyo, sema hata kipa wetu nae alishindwa kubana angle vizuri sijui alikuwa anafikiria nini.
 
Kikoo wapiiii. ???? Wachezaji wenyewe vimeo
 
Mungu wasiadie wenzetu Morocco washinde hii game. Morocco wapo karibu sana na ndugu wa Mtume.
Sahihi kabisa wako karibu na mtume hata huyo Prince Moulay El Hassan ambaye huu uwanja umepewa jina lake ni descendant wa mtume Muhammed kupitia mjukuu wake Hassan bin Ali.

Acha wafuzu kwenda hatua inayofuata, hii samia stars haina sifa ya kuendelea kubaki mashindanoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…