FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

Na hivyo ndivyo mama yenu alipita Ile October 🀣 pole lakini dada.
Samia angalau alizunguka kufanya kampeni

Hilo takataka usililinganishe na Mama yetu
Hili ni lijambazi
Tulirudi nchini tulipe uhaini hili jitu jeusii
 
Wachezaji hata kumpa presha refa aende kwenye VAR hamna. Ni kapombe na idd nado tu ndo wameonesha kutaka refa aende kwa VAR. Afu Samatta anaangalia tu.
Kmmk
We nawe unaloliongea sio kweli wachezaji mpk benchi la ufundi wamefatilia ile penalty
 
Q
Samia angalau alizunguka kufanya kampeni

Hilo takataka usililinganishe na Mama yetu
Hili ni lijambazi
Tulirudi nchini tulipe uhaini hili jitu jeusii
Marefa weusi wakishachezesha mechi ya mweusi na Mwarabu lazima wambebe Mwarabu kwasababu ya Infiriority complex...same hata kwenye clubs
 
Safi sana Morocco πŸ‡²πŸ‡¦

Tunamsubiri kati ya nigeria au cameroon

Morocco πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽
 
Hii mechi ingekuwa mbili moja, Chance ya Feisal na Msuva ,zile zote kamba.Yaani leo Morroco wamecheza hovyo, sema hata kipa wetu nae alishindwa kubana angle vizuri sijui alikuwa anafikiria nini.
Fei mzembe
Msuva mzembe
Kipa kiazi

Refa takataka la kufungulia mwaka
 
Q

Marefa weusi wakishachezesha mechi ya mweusi na Mwarabu lazima wambebe Mwarabu kwasababu ya Infiriority complex...same hata kwenye clubs

Baadhi yenu hamkosagi visababu, refa akiwa mwarabu ni kosa, mweusi pia ni kosa. Basi bora waletwe maalbino labda hamtaongea tena.

Mbona zikikutana tz na timu ya weusi huwa ham complain kama ilivyo kwa waarabu, acheni chuki bwana kila siku kuonewa!!
 
Haki kwanza ama amani? Wachezaji wa tanzania wamekubali kudhulumiwa haki yao ndio amani ya mchezo imepatikana na umekwisha. Kipi kingetakiwa kuanza haki ama amani?
Nasimamia Amani kwanza
 
Baadhi yenu hamkosagi visababu, refa akiwa mwarabu ni kosa, mweusi pia ni kosa. Basi bora waletwe maalbino labda hamtaongea tena.

Mbona zikikutana tz na timu ya weusi huwa ham complain kama ilivyo kwa waarabu, acheni chuki bwana kila siku kuonewa!!
Tuache hayo tuje kwenye tukio je haikupaswa kuwa penalty ?
 
Kazi ngumu zaidi hapa duniani na ya kutisha zaidi, ni pale mtu anapofikia kiwango cha kudharau uhai wa mtu mwingine na kuamua kuwa muuwaji

Ujasiri huuhuu utumike pia siku ya Kesho kumwangamiza Morocco nyumbani kwake kwa magori yasiyo na idadi kama kulivyofanyika No 29

Kwa kuwa tunaongozwa na watu wenye spirt hiyo, basi sprit waitumie huko Morocco kuw
 
Mwaka umeanza vibaya kwa timu ya Taifa kuonewa. Hii ni ishara kwamba mwaka huu wabongo tutaonewa sana. Tutaonewa na nani, hata mimi sijui nawaza waza tu πŸ˜€πŸ˜€
 
Mwaka umeanza vibaya kwa timu ya Taifa kuonewa. Hii ni ishara kwamba mwaka huu wabongo tutaonewa sana. Tutaonewa na nani, hata mimi sijui nawaza waza tu πŸ˜€πŸ˜€

Maskini ya mungu kila siku kuonewa, morocco πŸ‡²πŸ‡¦ sio ndondo cup. Best team in afrika, na ya kumi kwa ubora duniani, ila bado mnaamini waarabu wanabebwa.

Safi sana The Atlas
 
Kuna watu wameumia sana na comments zangu, sijali wala nini wala nini

Lazima nishabikie timu langu, Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽

Ikitokea tumetolewa huko mbele basi sio bahati

Kila la heri kwao simba wa Atlas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…