FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

It's 13 vs 11 lakini tumefanikiwa kuwadhibiti hawa waarabu..Mungu tubariki kipindi cha pili tuandike Historia..
 
Hawa jamaa wakitufunga tu goal moja basi watakua wametufungua kutufunga goal zingine kwa urahisi
 
Niwe mkweli Msuva sijawahipo kumuelewa. Naona ni moja kati ya wachezaji wabovu ila ana bahati tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…