FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

Hawa Mtibwa kumbukumbu zinaniambia hawajafanya usajili wowote. Kwa hiyo wale wa mwaka jana ndio hawahawa wa msimu huu tena kuna uwezekano wa msimu uliopita wameondoka baadhi. Siioni tofauti na kile kilichokuwa kinaendelea jana Azam Complex.
 
Viwili tayari.... Tobias Kifaru hoi
 
Bora angebaki Onyango tu. Huyu Malone anachomesha sana hata dhidi Dynamo alichomesha.
 
Goooooooooooal

Mtibwa wanarudisha bao la pili hapa baada ya kufanya counter attack
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…