FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

Malone kachomesha
Nadhani sasa akili zitamkaa sawa, kuna namna hawa wachezaji huwa wanalewa sifa sana na siku zote huwa ni lazima mgema alitie maji tu.

Ni kama yule goli kipa fulani baada ya kutoa penalty moja akaleta dharau kama zile za Martinez wa Argentina, kuchezacheza kwa manjonjo[emoji1].
 
Tatizo ni timu nzima, kama nilivyosema kuwa timu ni dhaifu ikiwa haina mpira, hata dk 10 hazijapita goli zimerudi zote
Timu kiujumla IPO safi hasa safu ya ulinzi na forward, ila hapa katikati hawakabi wanachojali ni kutengeneza nafasi za magoli.
 
Kwenda huko na wewe na uchambuzi wako ulojaa wivuu...labda chefondoo alikosea kutoka hapo..ila mengine ni wivuu tuu..unaona wivu tuu kwa wachezaji...
Maelezo marefuuu nonsense...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…