FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Wakifungwa tena, nitafurahi sana
 
Huo uzi haukuwepo wakati naandika.

Na hata ungekuwepo, trend ya siku hizi watu wanaanzisha nyuzi usiku, siku moja kabla ya mechi inakuwaje huu umekuja mchana masaa machache kabla ya mechi?

Kwanini usiangalie Uzi umewekwa saa ngapi na wewe umepost saa ngapi? Mambo marahisi tu
 
🤣🤣🤣Kuna watu wanaamini kabisa kuwa Yanga wanapoteza hii game.
Sijui kuhusu matokeo ya mwisho ila naamini Mpumelelo anaendelea pale alipoishia

Mechi ya juzi Afisa Habari wenu aliwaambia mje mmevaa kamba kiunoni, msivyokuwa na adabu wengine mkaja na shanga.

Mechi imeisha watu wanakuja kufanya usafi kwa ajili ya mechi ya kesho wanakuta getini kumejaa makolokolo ya ajabu, mikamba mikamba, mishanga.

Sijajua na mechi ya leo kama kutakuwa na muendelezo wa kampeni "tutafungua vilivyofungwa"
 
🤣🤣🤣Kuna watu wanaamini kabisa kuwa Yanga wanapoteza hii game.
Wenzio wametuliza komwe hawasemi chochote kwa kuwa hawana uhakika kwa wastaafu kutoboa mechi ya leo...

Sasa wewe unajimwambafu hapa utadhani wewe ndio golikipa na mashambuliaji wa Uto 😂😂

Hebu tulia na urudi hapa baada ya mechi kwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…