SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Huo uzi haukuwepo wakati naandika.
Na hata ungekuwepo, trend ya siku hizi watu wanaanzisha nyuzi usiku, siku moja kabla ya mechi inakuwaje huu umekuja mchana masaa machache kabla ya mechi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo uzi haukuwepo wakati naandika.
Wakifungwa tena, nitafurahi sanaWatu huwa wanaanzisha uzi wa mechi siku moja kabla ila toka YAS (Yanga Atafungwa Saaaana) ianze rasmi kwa vipigo vitatu mfululizo, leo kumekuwa na kigugumizi katika kuanzisha uzi wakati yamebaki masaa machache mechi ianze.
Vyura mmesusia timu yenu? Tunaomba msijidhuru tu maana vipigo vinaendelea kama kawaida.
Binafsi nadhani mnaenda kufungwa mechi 6 mfululizo ndiyo kuna katimu mtakaotea baada ya hapo.
🤣🤣🤣 wanaanza kuiogopa timu yao wenyewe!! Wazee wa 12AM Vincenzo Jr wamerudi nyumaHuo uzi haukuwepo wakati naandika.
Na hata ungekuwepo, trend ya siku hizi watu wanaanzisha nyuzi usiku, siku moja kabla ya mechi inakuwaje huu umekuja mchana masaa machache kabla ya mechi?
Hawa wapo kama wamechanganyikiwaNilimuelewa, namkumbusha tu kwamba yeye ni mwana mbumbumbu FC, mwana NGADA FC, Makolo FC,
Wewe unajua?Hujui History ya soka hapa nchini
Huo uzi haukuwepo wakati naandika.
Na hata ungekuwepo, trend ya siku hizi watu wanaanzisha nyuzi usiku, siku moja kabla ya mechi inakuwaje huu umekuja mchana masaa machache kabla ya mechi?
Uchochezikuna pisi kali moja, tokea haya mambo yakufungwa fungwa Uto yaanze amekimbia kabisa jukwaa 😂😂😂
Evelyn Salt
Sijui kuhusu matokeo ya mwisho ila naamini Mpumelelo anaendelea pale alipoishia🤣🤣🤣Kuna watu wanaamini kabisa kuwa Yanga wanapoteza hii game.
Habari ya mjini ni kuhusu ile timu iliyobamizwa na walina asali hadi ikamfukuza kocha...Timu iliyowafunga makolo mara nyingi zaidi unaijua?
Wenzio wametuliza komwe hawasemi chochote kwa kuwa hawana uhakika kwa wastaafu kutoboa mechi ya leo...🤣🤣🤣Kuna watu wanaamini kabisa kuwa Yanga wanapoteza hii game.
Wewe siyo mshabiki wa Yanga. Hivyo haikuhusu hata nikikuambia.Kwani furaha yenu ilienda wapi?