FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Uto mnateseka sana kwa sasa. Japo hii game mtapata points 3 lakini mateso makali mnapitia...
 
Kipindi cha pili Azizi Ki arudi kwenye fani yake ya assistant coach aangalie wapi wenzake wanakosea kisha awasahihishe.
 
Baleke ye anacheka tu kwa mbali.
 
Tatizo kubwa la Yanga ni kushuka kwa viwango vya unyumbulifu kufungua defense line ya timu pinzani kwa
Nzengeli
Pacome
Aziz Ki
Muda
Ni kama timu zimejua pattern zao na wakiziblock timu inabaki kumiliki mpira lakini magoli hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…