FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Uto mnateseka sana kwa sasa. Japo hii game mtapata points 3 lakini mateso makali mnapitia...
 
Kipindi cha pili Azizi Ki arudi kwenye fani yake ya assistant coach aangalie wapi wenzake wanakosea kisha awasahihishe.
 
Huko benchi aliko Mpumelelo atakuwa kila anapomuona Musonda anakosa mabao anacheka

Maana yake inavyoonekana kipindi Musonda yupo benchi na Mpumelelo yumo ndani alikuwa anamuona Mpumelelo kama mzembe.

Sasa ni muda wa kushare hard feelings

Hiyo ndio maana halisi ya kuni ya akiba kuicheka kuni nyenziee inayoungua.

Musonda alikuwa ni kuni ya Akiba, soon zile nyimbo za Mpumelelo zitahamia kwake.
Baleke ye anacheka tu kwa mbali.
 
Tatizo kubwa la Yanga ni kushuka kwa viwango vya unyumbulifu kufungua defense line ya timu pinzani kwa
Nzengeli
Pacome
Aziz Ki
Muda
Ni kama timu zimejua pattern zao na wakiziblock timu inabaki kumiliki mpira lakini magoli hakuna
 
Back
Top Bottom