Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Uto mnateseka sana kwa sasa. Japo hii game mtapata points 3 lakini mateso makali mnapitia...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha sawa naona Mzee wa Kilinge umemaliza utata ngoja tuoneFT NAMUNGO2-0
Hakuna point 3 Yanga kufunga zero hawapati hata point 1Uto mnateseka sana kwa sasa. Japo hii game mtapata points 3 lakini mateso makali mnapitia...
Na kweli watapata kwa hii ila uto kwa sasa hakuna kitu 😁Uto mnateseka sana kwa sasa. Japo hii game mtapata points 3 lakini mateso makali mnapitia...
Baleke ye anacheka tu kwa mbali.Huko benchi aliko Mpumelelo atakuwa kila anapomuona Musonda anakosa mabao anacheka
Maana yake inavyoonekana kipindi Musonda yupo benchi na Mpumelelo yumo ndani alikuwa anamuona Mpumelelo kama mzembe.
Sasa ni muda wa kushare hard feelings
Hiyo ndio maana halisi ya kuni ya akiba kuicheka kuni nyenziee inayoungua.
Musonda alikuwa ni kuni ya Akiba, soon zile nyimbo za Mpumelelo zitahamia kwake.
Sahau HiloFT NAMUNGO2-0
Na iwe hivyoHalf time. Matokeo 0-0
Kila la heri Namungo FC. Kipindi cha pili msituangushe.
Huyu atakuwa anajisemea moyoni "nyie rukeni rukeni tu humo ndani kila mechi mpangwe na mfungi ila kumbukeni mi.mechi mbili tayari ninalo langu la offside"Baleke ye anacheka tu kwa mbali.
hongera mchawi..🤣Mkuu naona uchawi wangu unaonyesha mtashinda😊
Mno mkuu💪 nyuma mwikohongera mchawi..🤣