FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Umepotea njia?
 
... anticipation....loadedπŸ’―πŸ’―
.... Die hard ...loaded πŸ’― πŸ’―
... footwork...loaded πŸ’― πŸ’―πŸ’―
....determination..loaded..πŸ’―
.... hunger for a win.. πŸ’―
... NIDHAMU..πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―

YANGA IMERUDI... HAYA NDO TULIYAKOSA GAME YA WALE WASUDANI...

Tuliumia sana. TUMERUDI.

TUISHI HUMU.
 
Mnyalu una laana
 
Kwa hizi sub za Yanga za kumtoa Max, kumuingiza Dubr, unaona kabisa huyu kocha ni kiazi kabisa. Hajui chochote. Labda ashinde hii game, Yanga ikitoka sare au kufungwa, atakiona cha mtema kuni.
Kosa lake lipi? Tatizo la kukariri mfumo wa Gamondi kubebwa na Maxi
 
Ngono na mpira haviendi pamoja maana ngono inakula magoti

Azizi K anaenda kuwa Kama ngasa

Kukosa exposure ni kitu kibaya Sana
Kwa nini hao walezi wake kina Hersi hawakumuonya? Sana sana ndiyo wamemuweka kwenye situation hiyo
 
Mechi yenu na MC Alger ndio itatoa majibu.

Namungo mwenye point 3 kwenye msimamo sio kipimo.

Makosa mengi sana mmeyafanya na Namungo wamekuwa shallow kuweza kuyatumia kunufaika.

Bado Yanga ni ile ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…