Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepotea njia?Jali Afya kidogo wakishindwa uchaguzi huwa yakaenda wapi!? Kwa gharama zipi
3.2 Afya
Katika kukabiliana na changamoto za afya vijijini na mitaani, ACT Wazalendo
itafanya mambo yafuatayo;
1. Itaunganisha wananchi masikini na wasio na ajira rasmi: wakulima, wavuvi,
bodaboda, machinga na makundi mengine kuchangia kwenye mfumo wa
hifadhi ya jamii ili kupata bima ya afya kwa wote.
2. Itasimamia uagizaji, usambazaji na upatikanaji wa dawa na vifaatiba
kwenye zahanati na vituo vya afya na hospitali za wilaya kwa wakati na
mahitaji.
3. Itafuatilia kwa ukaribu na kuchukua hatua dhidi ya mienendo mibovu ya
utoaji huduma: lugha mbaya, uzembe, kudai rushwa nakadhalika katika
zahanati na vituo vya afya kupitia kamati za afya.
4. Itanunua na kunyunyiza dawa za kuangamiza vimelea vya mbu ili
kutokomeza malaria.
5. Itapeleka mhudumu wa afya ngazi ya jamii kwenye kila kijiji kufuatilia
mwenedo wa magonjwa, mtindo wa maisha.
5. Itaingia makubaliano na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kujenga nyumba
za madaktari na wauguzi ili kuweka mazingira mazuri vijijini na maeneo ya
pembezoni.
Hatuna maana hiyo tunamaanisha zinalipa..
View attachment 3165974View attachment 3165975View attachment 3165976
Yametimia...Half time...😃😃View attachment 3165624
Hizi zitarudi wakishinda mechi 3 mfululuAfadhali kelelw za Sindano na Bahasha zirudi tena. Ndio faraja pekee ya Mbumbumbu.
Taratibu tushaanza kuwa blind yanga wanaongoza mkuu unatosha👑👑Umepotea njia?
Mnyalu una laanaSamata was very smart kutohanhaika na hawa mademu milupo ya kibongo.
Unakutana na Gudemu guana-harakati unaingia mkenge na nyota zako gwenyewe gunakupulizia na kukuchota nyota kudadeki. Gwenyewe pia guna tafuta ku-shine kwenye mambo yake kwanini gukuache?
Halafu gunakuweka kichwa mapajani. Gunakorogelezea ugupende gwenyewe kuliko chochote, kuliko hata kazi yako
Kitachorudi sio kelele tu, hata nyie mashabiki wa Yanga tunawatarajia kuwaona mkirudi kutoka mafichoniAfadhali kelelw za Sindano na Bahasha zirudi tena. Ndio faraja pekee ya Mbumbumbu.
Kati ya watu nisingependa kuwasikia wakiongea ni Ali KamweKafunga Pacome assist kutoka kwa Chama
View attachment 3165977
Kosa lake lipi? Tatizo la kukariri mfumo wa Gamondi kubebwa na MaxiKwa hizi sub za Yanga za kumtoa Max, kumuingiza Dubr, unaona kabisa huyu kocha ni kiazi kabisa. Hajui chochote. Labda ashinde hii game, Yanga ikitoka sare au kufungwa, atakiona cha mtema kuni.
Pokea simu harakaUnaifungajeeeeee 😂
umerudiUnaifungajeeeeee 😂
Kwa nini hao walezi wake kina Hersi hawakumuonya? Sana sana ndiyo wamemuweka kwenye situation hiyoNgono na mpira haviendi pamoja maana ngono inakula magoti
Azizi K anaenda kuwa Kama ngasa
Kukosa exposure ni kitu kibaya Sana
Mechi yenu na MC Alger ndio itatoa majibu.... anticipation....loaded💯💯
.... Die hard ...loaded 💯 💯
... footwork...loaded 💯 💯💯
....determination..loaded..💯
.... hunger for a win.. 💯
... NIDHAMU..💯💯💯💯
YANGA IMERUDI... HAYA NDO TULIYAKOSA GAME YA WALE WASUDANI...
Tuliumia sana. TUMERUDI.
TUISHI HUMU.
Makolo siyo mda wataanza kutapika nyongo na kuishi Kwa matumaini.Afadhali kelele za Sindano na Bahasha zirudi tena. Ndio faraja pekee ya Mbumbumbu.
Ushasahau mara?Unaifungajeeeeee 😂