FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Baleke sijui kwanini hapewi nafasi

Naskia wanataka kumtoa dirisha dogo ili aingie yule jamaa aliyetoka Vyosk
Hilo dirisha dogo wamtoe Aziz Ki akacheze SBS
Dube asugue bench mapaka atakapoondoka
Kuna upuuzi wachezaji wa west africa wameambiana kwamba ukitaka kufanikiwa ligi ya NBC ela utapata na mademu utapata wamekuja kujazana hapa mademu wanawaharibu sana
 

Tunakumbushana tu si kwa ubaya lakini. Katika miaka ya hivi karibuni, uto haijafungwa na timu inayodhaminiwa na GSM. Mngetegemea hilo litokee leo wakati timu iko dhohofu bin hali?
 
Gamond alikua anachangia sana kwenye ushindi dhidi ya Simba. Ila kiukweli kama bado tutakua na huyu kocha aseeh mnaweza kuwa na nafasi kubwa kutufunga
 
Gamond alikua anachangia sana kwenye ushindi dhidi ya Simba. Ila kiukweli kama bado tutakua na huyu kocha aseeh mnaweza kuwa na nafasi kubwa kutufunga
Mechi ni maandalizi. Nafasi ya kocha kwenye Derby ni ndogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…