FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Baleke sijui kwanini hapewi nafasi

Naskia wanataka kumtoa dirisha dogo ili aingie yule jamaa aliyetoka Vyosk
Hilo dirisha dogo wamtoe Aziz Ki akacheze SBS
Dube asugue bench mapaka atakapoondoka
Kuna upuuzi wachezaji wa west africa wameambiana kwamba ukitaka kufanikiwa ligi ya NBC ela utapata na mademu utapata wamekuja kujazana hapa mademu wanawaharibu sana
 
1000025753.jpg

Tunakumbushana tu si kwa ubaya lakini. Katika miaka ya hivi karibuni, uto haijafungwa na timu inayodhaminiwa na GSM. Mngetegemea hilo litokee leo wakati timu iko dhohofu bin hali?
 
Simba kumfunga Yanga simpi nafasi kubwa.

Simba ikishindwa kumfunga Yanga kipindi ambacho Yanga inatembeza bakuli. Goli ka Morrison

Sare ya goli mbili ambayo Balama Mapinduzi anapiga shuti kali. Naamini Yanga huwa inajiandaa mara mia kwenye mechi ya Derby kuliko mechi yake yeyote ile.
Gamond alikua anachangia sana kwenye ushindi dhidi ya Simba. Ila kiukweli kama bado tutakua na huyu kocha aseeh mnaweza kuwa na nafasi kubwa kutufunga
 
Back
Top Bottom