FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Kila lakheri chama langu Young africans sc 💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛

#DaimaMbele #NyumaMwiko 💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚💚
 
Hawa watu walijitapa mnoo.
Yanga inaweza ikainuka na kuwa imara zaidi ama ndio ikawa ndio kifo cha moja kwa moja msimu huu. Nafasi wanayo kwa kila mashindano anayoshiriki msimu huu ila mechi dhidi ya Nqmungo na dhidi ya Mc Alger ndio itatoa mwanga juu ya hatima ya msimu wa ligi kuu na klabu bingwa msimu huu. Wanatakiwa washinde mechi zote mbili
 
Mkuu zote anapoteza namungo anapiga pale pale kwenye mshono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…