FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Hoja ni kwamba Yanga haijafungwa na timu inayodhaminiwa na GSM. Je mechi ambazo Yanga anashinda zote zimedhaminiwa na GSM.

Simple logic unafeli wapi?
Ukiachana na derby ambayo Ina mambo mengi ndani yake, hoja inamashiko🤔 mbona yanga haifungwi na timu inazozidhamini!?, Ila inafungwa na timu ambazo hawajazidhamini!?.

Yaani nikulishe na Bado uniletee jeuri😂😂 lazima uwe mpole.

Hata hivyo Leo ilikuwa wastaafu kwa wastaafu
 
Anashindwa kuliona hilo halafu anapata ujeuri wa kusema "simple logic"
 
Ukiachana na derby ambayo Ina mambo mengi ndani yake, hoja inamashiko🤔 mbona yanga haifungwi na timu inazozidhamini!?, Ila inafungwa na timu ambazo hawajazidhamini!?.

Yaani nikulishe na Bado uniletee jeuri😂😂 lazima uwe mpole.

Hata hivyo Leo ilikuwa wastaafu kwa wastaafu
Ina mashiko ila zinabaki kuwa porojo kwa sababu hakuna aliye na uthibitisho kwamba hayo mambo yanafanyika. Zimebaki kauli za uswahili kama hiyo nikulishe halafu uniletee jeuri
 
😂Mtaani kwetu Leo heee!! Kama vile kipofu kaona mwezi, full kelele. Yaani tulipumzika week hizi 3, uto wanafujo wafungwe tu tupumzikege kelele
Dah kwa hiyo hamtaki tushinde😀😀
 
Back
Top Bottom