FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

mqdefault.jpg
 
Crying room ipo kwa wachambuzi wenu na nyie wenyewe sio yanga,,Kila timu ishinde mechi zake alafu tukutane mwisho wa msimu,,hii ya Leo imemaliza kelele zote sasa tunaingia kazini rasmi mtalia vilio vya kwikwi!
Punguza kujielezea kama kipa wako asiye na clean sheet mechi iliyopita🤣
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Kwani kukosoa kawaida huwezi mkuu? Jaribuni basi kujiheshimu
Jifunze kwanza sheria za mpira ndo ukosoe, laa sivyo kila siku utaishia kuwaambia watu wajiheshimu maana wataruka sana na wewe.

Pale hamna offside, na hata ingekua kweli mchezaji yuko offside beki ukigusa mpira ukakupita kwenda kwa mshambuliaji hata kama yuko nafasi ya offside haihesabiki offside, wewe beki unahesabila umetoa pass na umeiua offside
 
Back
Top Bottom