FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

Hatimae Refa kafanya yake

3-0

Penalty
loh

Wakamaria angalia Salio
 

Attachments

  • Screenshot_20250219-204040.jpg
    Screenshot_20250219-204040.jpg
    239.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250219-193310.jpg
    Screenshot_20250219-193310.jpg
    231.3 KB · Views: 1
Pesa zinaongea kwenye mechi zetu, asante Mwamedi kwa ili.

Ni mwendo wa marefa, wachezaji mahiri wa timu pinzani, makocha wa timu pinzani kuvuta mahela ya Mwamedi kama mwchi ya leo na zilizopita.

Sijui mechi na Utopolo itajuwaje! Mwamedi ataweza kupenyeza mapesa tena? Aliweza kwa yule kocha kutoka Amerika, sijui sasa itakuwaje.
 

Attachments

  • Screenshot_20250219-204040.jpg
    Screenshot_20250219-204040.jpg
    239.5 KB · Views: 1
Au sio lakini angalizo tunatoa kwamba kelele atutaki tutakapoongeza gia,,hii mechi ya Leo imemaliza Kila kitu kwaiyo tusije kuona mbumbumbu yeyote ananyanyua bakuri lake kulalamika,,
Kila mtu ashinde mechi zake.

SimbaSC NguvuMoja #UbayaUbwela
 
Back
Top Bottom