Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za kwenu huwa hamzicheziBila penalty ndio kama mnavyoona 😂
Ni lugha ya vilaza wa Mangungu wanaoshinda mechi kwa magoli ya penalty timu ikiwa pungufu mpaka refarii muamala usomeNasikia 'tiyali' ni lugha ya manyani wa Luc Emayel
Ndio ukose miaka 3 kombeZa kwenu huwa hamzichezi
ivi ile kadi ya nyekundu alikwatuliwa naniRefa anamejitahidi sana. Namungo utafikiri wanacheza kick boxing.. walitakiwa wawe wamebaki 7 uwanjani.
Isingekuwa ateba Leo angepiga hattrickAhoua mwaka penati😆😆😆
Imekuuma chomoa.Ni lugha ya vilaza wa Mangungu wanaoshinda mechi kwa magoli ya penalty timu ikiwa pungufu mpaka refarii muamala usome
Hahaha, Waambie ubaya ubwela ndo huu.Nafurahi mwanangu nipo na wanao sura wameinamisha chini sasa sijui wanaona aibu.
Sawa Mkuu.Haya hayakuhusu
Mtachomoa nyie maana hizi kazi za fitina amtoziweza na Wala ubavu amna wa kufanya fitina,,subilieni vilioImekuuma chomoa.
Namungo leo wanacheza kama masela wa vingungutiRefa anamejitahidi sana. Namungo utafikiri wanacheza kick boxing.. walitakiwa wawe wamebaki 7 uwanjani.
Ile yenu minneNdio ukose miaka 3 kombe