FT| NBC | Namungo 1-1 Simba Sc | Majaliwa Stadium | Mei 3, 2023

FT| NBC | Namungo 1-1 Simba Sc | Majaliwa Stadium | Mei 3, 2023

Tumekufa kiumeeeee....huku mnara unasoma 1G
 
Simba kuchezesha mchanganyiko wa kikosi cha pili na cha 3 ni dhahiri wameshawashtukia Utopolo kutoa bahasha kwa mechi zilizobaki
Ndio maanake hata akina Club Africaine, Real Bamako, Monistir na Rivers United nao waliwapa bahasha na hata Marumo Gallants nao tayari wameshapokea bahasha.
 
Back
Top Bottom