Anaumwa mkuu hajapona freshKwa niaba ya mashabiki kindaki ndaki wa simba, kama kuna kosa phiri kafanya kwa kocha amsamehe.
Hivi hatujapata hata point mtani?.Pole sana mtani
Draw ya kiume...Inamana hujasikia jirani? [emoji1787][emoji1787]
Sasa umeona kocha yoyote kati ya hao?Hivi Kwanini kwenye Sub Robertinho na Mgunda huwa wazito sana? Timu haiko organized, wachezaji Hawaki motivated. Au sababu ya ASFC
Hawa walitakiwa wawe wanachezesha za wanawake wenzao tuKweli Huyu refa atafute kazi nyingine mpira hawezi.
Koh koh koh π€£π€£Draw ya kiume...
Sisi kama lunyasi tunahamishia nguvu ASF (LOOSER) [emoji123][emoji123][emoji123]Tumekufa kiumeeeee....huku mnara unasoma 1G
Eehh.. mzee mwenzangu,mie ni KOLO..π³π³π³π³π³
Aaah mzee mwenzangu kumbe wewe koloπππ
Hatuwadai..[emoji23][emoji23][emoji23]Koh koh koh [emoji1787][emoji1787]
Ww ni mjomba akee...kolo ni mjombaaa...Eehh.. mzee mwenzangu,mie ni KOLO..
Ndio maanake hata akina Club Africaine, Real Bamako, Monistir na Rivers United nao waliwapa bahasha na hata Marumo Gallants nao tayari wameshapokea bahasha.Simba kuchezesha mchanganyiko wa kikosi cha pili na cha 3 ni dhahiri wameshawashtukia Utopolo kutoa bahasha kwa mechi zilizobaki
Hahahaaa! Lol.Hatuwadai..[emoji23][emoji23][emoji23]
nashuRUKU thaana mkuuAnaumwa mkuu hajapona fresh