FT| NBC | Namungo 1-1 Simba Sc | Majaliwa Stadium | Mei 3, 2023

Kocha anachelewa fanya mabadiliko

Wachezaji waliocheza leo sioni ambaye anatakiwa kuendelea na Simba
 
Hata Msimu ujao sioni Simba ikichukua kombe sababu ni hizi....

Wachezaji wengi Wana kiwango kidogo kuiwezesha Simba kufikia mafanikio makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…