FT| NBC | Namungo 1-1 Simba Sc | Majaliwa Stadium | Mei 3, 2023

Lala
 
Aaahaasss
 
Kinacho wapa Yanga matokeo ni kujituma muda wote.

Baada ya kukosa Kombe a ligi kwa miaka minne, Yanga wamesajiri kwa umakini na wanajituma kila mechi na kupata matokeo.
Kwa hili nawapa pongezi na wanaenda kuchukua kombe la Shirikisho.
Simba wanacheza kwa kujiamini sana na hawajitumi.
Kuna wachezaji Simba wanakula mshahala wa bure kabisa na wakiingia kucheza hawana maajabu.

Kamati ya usajiri ya Simba Mungu anaiona.
 
Mtani Bill sijakuona tangia game na Wydad ndo kusema umeacha kushabikia mpira ama. 🀣🀣🀣
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜‚
Nimesimama kwa muda mtani nitarudi fainali ya Azam Sports CC
πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜Ž
 
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜‚
Nimesimama kwa muda mtani nitarudi fainali ya Azam Sports CC
πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜Ž
Hahahaaa! Lol.

Haya Mtani ikitokea mukafuzu tutakutana. 🀣🀣
 
Upo mamito! Huwa nafurahia utani wako ulivyo! I wish watu wote wangalikuwa na utani kama wewe
Nipo Mkuu. Shukran. πŸ™πŸ™

Saa hii tunasubiria points zetu tatu hapo 16:00hrs kutoka kwa Singida Big Stars.
 
Naomba kutangaza kwamba kwa namna mpira ulivyochezwa huko ugenini Ruangwa na kwa namna wachezaji wetu walivyopambana na kujitoa kiume, Kwakweli sina ninachowadai, Wamepambana sana.

Ninawasihi mashabiki wenzangu twendeni Airport tukawapokee mashujaa wetu hawa, Kwani wamepambana kiume yaani kufa kupona.

Simba Guvu Moya
 
Huu usemi 'kufa kiume' unatumiwa vibaya sana kwa sasa tukiongozwa na mashabiki wa simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…